Bongo pia Masupa staa wetu hawakubaki nyuma hapa Lady Jaydee akifanyiwa mahojiano na Sebastian Ndege wakati wa onyesho la Mfalme wa Pop marehemu Michael Jackson lililofanyika Mlimani City jijini Dar.
Moja ya manjonjo aliyokuwa akiyafanya marehemu mfalme wa Pop wakati wa mazoezi ya 'This Is It' ambapo onyesho la kwanza la sinema ya Michael Jackson liliwavutia nyota kibao ambao ni akina Will Smith, Jennifer Lopez, Neil Patrick Harris, Paula Abdul, Katy Perry, Paris Hilton, Adam Lambert, Jennifer Love Hewitt na Ashley Tisdale ambao kwa pamoja walionyesha mshikamano wao kwa mfalme wa Pop.
Jennifer Lopez akionekana kushangaa katika onyesho la kwanza la sinema ya Michael Jackson ya 'This Is It' katika ukumbi wa Nokia Theatre.
Thursday, October 29, 2009
Friday, October 23, 2009
Yakheee ndoa yampata fundiiii?
Monday, October 19, 2009
Pozi za Jay Z na kimwana wake
Friday, October 16, 2009
Happy Birthday Sarah Sadik (Kwafujo)
Fainali za BSS-2009
Mheshimiwa Zitto akifurahia wasanii wa BSS
Rita Paulsen Jaji mkuu wa shindano la BSS akitoa maoni yake katika ukumbi wa Diamond Jubilee ambako shindalo hilo lilifanyika
Pascal Cassian akiimba huku akidaka mshiko kutoka kwa mashabiki wa muziki
Mshindi wa BSS- 2009 Pascal Cassian akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni 25
Wasanii wa BSS 2009 presha inapanda presha inashuka.....

Saturday, October 10, 2009
Brother Moddy (Rafiki) siku alipofanya kweli
Mmmmmm mwaaaaaa....Brother Moddy akimpiga busu wife wake baada ya kumlisha keki
Aunt wa brother Moddy akiongoza ndugu wengine kufanya chiazziiii
Du ....hii picha nimeipiga vizuri!!!!!!!!!!!!!...............Dinna David (Usalama Kwanza) akiwa sambamba na rafiki yake Tiffany
Mamiss waliohudhuria ndoa ya Bro Moddy wakila pozi la picha
Baadhi ya wafanyakazi wa Makampuni ya Ipp wakifurahi pamoja na maharusi
Dadi ya Bro Moddy akitossti na Maharusi
Yeah hapa imetulia.........

Subscribe to:
Posts (Atom)