Monday, October 19, 2009

Pozi za Jay Z na kimwana wake

Du mtoto kapendeza ile mbaya.... lakini hofu ya nini mikono hiyo.................
Mambo Adimu yaliyokuwa yakifanywa na Mfalme wa muziki wa Pop Marehemu Michael Jackson.....alikuwa hodari wa kuchupa kwenye maji ni bonge la tizi lililokuwa linamsaidia kucheza stejini.

No comments:

Post a Comment

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL