Bongo pia Masupa staa wetu hawakubaki nyuma hapa Lady Jaydee akifanyiwa mahojiano na Sebastian Ndege wakati wa onyesho la Mfalme wa Pop marehemu Michael Jackson lililofanyika Mlimani City jijini Dar.
Moja ya manjonjo aliyokuwa akiyafanya marehemu mfalme wa Pop wakati wa mazoezi ya 'This Is It' ambapo onyesho la kwanza la sinema ya Michael Jackson liliwavutia nyota kibao ambao ni akina Will Smith, Jennifer Lopez, Neil Patrick Harris, Paula Abdul, Katy Perry, Paris Hilton, Adam Lambert, Jennifer Love Hewitt na Ashley Tisdale ambao kwa pamoja walionyesha mshikamano wao kwa mfalme wa Pop.
Jennifer Lopez akionekana kushangaa katika onyesho la kwanza la sinema ya Michael Jackson ya 'This Is It' katika ukumbi wa Nokia Theatre.
No comments:
Post a Comment