We ni wangu tu..... hapa mama huchomoi tena kama ni Kung - Fu hapa ndio kwao ngoja nikuonyeshe kuwa mimi ni mtaalam wa kucheza....sio kama mabwana harusi wengine wakiwa kwenye sherehe ya kuoa wanakuwa kama wamehukumiwa kunyongwa............wewe je ukioa utathubutu hivi vijimambo?
No comments:
Post a Comment