Sunday, August 2, 2009

WAMJUA PAPY CATALOGUE

Jina langu la ukoo naitwa BAHONGWERE POLEPOLE na jina alisi ni PAPY CATALOGUE nilizaliwa Congo mji unaitwa BUKAVU Mashariki ya Congo le 20-09-1980 nilanza mziki 94 kwa ufupi nimepita pendi nyingi kubwa Congo kama ACOUSTIC BAND, HALICATO. 2002 nikawa naongoza kama rapa bora Mashariki ya Congo hadi 2006 nikachukuliwa na FM Academia ndo nikaja apa Tanzania nikajiunga na FM ACADEMIA hadi sasa natengeneza alboum yangu ya kwanza apa Tanzania nami tarajia kupiga shoo tatu za uzinduzi wa alboum yangu na uko Mashariki ya Congo wananikubali ile nbaya na tetemeko la ardhi inatesa sana uko.

1 comment:

  1. papy unatisha tunategemea makubwa kutika kwako,kaza buti.

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL