Sunday, August 2, 2009

Mambo ya Week end

Na mimi kwa mapozi natisha ile mbaya....Hapa namsubiri Dady anipeleke nikagraduate.....Umetucheki viongozi wa kesho tulivyo shaini na majoho yetu
Dady nae kwa Fujo kaleta bonge la keki kutoka majuu washkaji njooni basi tujirambeee
Ntavipanga vyeti hivi hadi vya vyuo vikuu....kazi imeanzaEee bwanaeeee Dady na Mum wananipenda sana yaani hapa hatua za awali mizawidi kibao je nikimaliza chuo kikuu siwataninunulia ndege....ngoja nikaze msuri babake.
Jana baada ya kutoka katika weekend show nilipita Ngwasumani kushoo lav kutoka kushoto ni rapa wa FM academia G7 katikati Abou Sadiq na mshikaji wangu Nteze.

4 comments:

  1. Blog inatisha mwana kaza buti kwafujo,tunakubali,rudisha na kwafujo deejayz!vp kwafujo jr yupo wapi mbona kimya.

    ReplyDelete
  2. kwafujo inatisha toka awali tunajua huu mwamnzo tu utafunika blog zote za bongo,tunategemea manewz motomoto.vp kwafujo deejayz inarudi lini.

    ReplyDelete
  3. Lakini kubwa zaidi nataka uwe una-post picha na stori mbili tatu za wasanii wa Bongo Fleva wa zamani. Nakubali sana mipini ya kipindi kileeeeee......Bongo Da'Salaam, Ndani ya Bongo, Balozi kwenye chati, Zuwena, MWP, Mazimwi, KUla Kona, Kosa la Marehemu-Uswahilini Matola na nyinginezo. Pamoko kaka...
    Joseph Shaluwa

    ReplyDelete
  4. Helo,tunaomba utuwekee picha ya Reuben T mchome tuna taka tumuone maana twamskia tu kwa radio anatukuna na sauti yake pls,so tutafurahi sana kma utatuwekea hes pic,and we like u blg,unamtoto mzuri mashalla mwenyezi mungu akukuzie Inshalla

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL