Monday, August 17, 2009

Patashika ya ligi ya Uingereza

Mchezaji wa timu ya Chelsea Didier Drogba (Kulia) akishangilia baada ya kufunga bao la pili dhidi ya timu ya Hull City.
Mchezaji wa timu ya Manchester United Wayne Rooney (Kushoto) akimfunga kipa wa Birmingham City Joe Hart wakati wa mechi ya ligi ya Uingereza iliyochezwa katika uwanja wa Old Trafford.
Mchezaji wa timu ya Arsenal William Gallas akiruka juu na kufunga bao la kichwa dhidi ya timu ya Everton.

1 comment:

  1. mbona hujaweka picha la Liverpool alivyoumizwa jana? au wewe mshabiki wa Liver nini?

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL