Friday, January 22, 2010

WAFANYAKAZI WA IPP WALIPOJUMUIKA NA WALEMAVU KATIKA MISOSI

ABDALLAH MWAIPAYA(ABD) akichekelea misosi na GODWIN GONDWE baada ya kazi ngumu ya kuwagawia chakula walemavu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini DAR ambapo siku hiyo wafanyakazi wa makampuni ya IPP walikuwa wahudumu wa walemavu waliofika kwenye sherehe hizo.
Wafanyakazi wa Ipp wakichukua misosi baada ya kazi nzito wa kutoa huduma kwa walemavu katika ukumbi wa Diamond Jubilee






Wafanyakazi wa Ipp wakichukua misosi baada ya kazi nzito wa kutoa huduma kwa walemavu katika ukumbi wa Diamond Jubilee

Wednesday, January 13, 2010

MR. BLUE AKANUSHA KUFA

Mr. Blue akiwa kwenye mahojiano na mtangazaji wa Radio One wa kipindi cha Milazo 101 Millard Ayo......katika mahojiano hayo Mr. Blue alisema kuwa yeye ni mzima wa afya na anaendelea na mipango yake ya maisha kama kawaida, ikiwa ni pamoja na kusoma kozi za Kiingereza za Kifaransa ili awe wa kimataifa zaidi katika ulimwengu wa sasa ambao ni kijiji kimoja, pia Mr Blue alisisitiza kumalizia nyumba yake ambayo anajenga huko maeneo ya Tabata na hatimaye aweze kuishi pamoja na mama yake ambaye anampenda sana.

Tuesday, January 5, 2010

ROSE CHITALLAH AIBUKIA NCHI ZA MBALI

Hi ma people of Bongo Land mu hali gani...?
Rose akila pozi kwenye duka kubwa la mavazi
Rose akiwa na bro wake katika beach huko mbele

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL