Monday, August 17, 2009

PAMBA KALI NDANI YA ZIZZOU FASHIONS STORE

Kama unataka kupendeza na jezi za wachezaji wa Ulaya basi hapa ndi kwao
Mikwaju mikali ya kutokea washua....

KwafujoJunior akiwa ndani ya ZIZZOU Fashions....Jamaa kibao walikuwa wanamuulizia kapotelea wapi huyu jamaa sasa huyo hapo.

3 comments:

  1. tippo tunakubali sana ila jitahidi kutuletea jezi za wachezaji maarufu hasa wa kiafrica,mimi namkubali etoo ila sjaona jezi mpya ya alipohamia,joram wa mbezi

    ReplyDelete
  2. ebwana zizzou upo juu,naskia umeanzisha label ya music,safi...km vp anzisha timu ya mpira pia najua unaweza,george ben

    ReplyDelete
  3. eeeh junior umepotelea wapi?????????nackia upo uae cku hzi hujaleta kimwana cha kiarabu?? hivyo we na abuu mapacha??

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL