Friday, July 31, 2009

Kwafujo Ndani ya Delightful

Mshikaji wangu ABD Mwaipaya hawa jamaa mbona wanachelewa wakati sisi tuna ubao kinoma inakuwaje.....
Hey... hey... tufanye fasta Aboubakar Sadick na Mwaipaya wanaonekana wanaubao kinoma ngoja tuwaoneshe kuwa Delightful ni Bab kubwa.
Walipochelewa tuliamua kujikita jikoni huko tulikuta mishtaki yetu ikichomwa kwa ustadi.....eee bwana usiombe ilikuwa laini na mitam ile mbaya, hata kama ni kibogoyo utakula bila shida.
Afadhali mmenipoza kwanza kwa juice maana ningeanza fujo pasingetosha
mmmmh....maridadi kweli kweli Juice bab kubwa

Sheick Abou ndani ya Bangaloo la Filbert Limbumba

Duh -hapa Sheick Abou napewa lager Gilbert anasema hii inafaa eti ina kilevi kidogo sana hata hivyo nilikataa wacha nimuulize kwanza mshkaji wangu GEROME HEINEKEN washkaji nitawapa jibu nikishaongea na GEROME.
Huyu ni Filbert Limbumba almaarufu kama la Patro au AC nane, unajua kwanini Duh- Janamaa home kwake ndani ni baridi kama Russia, ndani kuna AC 8 nilisoma nae Ruiru high School (Thika) Ila jamaa sasa yupo juu ile mbaya ana fedha si mchezo.
Pia ni mmoja wa wakurugenzi wa Diamond Musica.

Thursday, July 30, 2009

NANI ZAIDI YA RADIO ONE

Katika nani zaidi ya wiki iliyopita ya tarehe 26/07/2009 mpambano ulikuwa kati ya Kassim na Hussein Machozi, na mpaka mwisho wa mpambano Hussein Machozi akaibuka mshindi........Je Jumapili hii ya Tarehe 2/8/09 atafanikiwa kumshinda Marlow?
Tuma maoni yako sasa.




FELIX SINZA CLASSIC- TUPO SINZA KIJIWENI,BARABARA YA UZURI, MKABALA NA NJIA PANDA YA KUELEKEA LION HOTEL



THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL