Monday, November 30, 2009

WELCOME TO TRANQUIL MASSAGE PARLOUR AND SPA.

WELCOME TO TRANQUIL MASSAGE PARLOUR AND SPA.
THE ONLY PLACE IN TOWN WHERE U CAN EXPERIENCE TRANQUILITY,RELAXATION AND COMFORT WHILE WE TAKE CARE OF U.WE USE MAGIC HANDS AND MACHINES.
WE OFFER VARIETIES OF SPECIALITY SERVICES BY OUR OWN QUALIFIED THERAPISTS SUCH AS;
BODY MASSAGE,BODY SCRUB,FACIALS,MANICURE AND PEDICURE.
COME VISIT AND ALLOW US TO PAMPER YOU IN A QUIET AND AND RELAXING AMBIANCE.
WE OPEN EVERYDAY MONDAY-SUNDAY AND PUBLIC HOLIDAYS FROM
9:00AM-20:00PM AND ON SUNDAY FROM 11:00AM-18:00PM.
FOR MORE INFORMATION PLEASE CONTACT US ON;
CELL : +255717952020 / +255768952020
EMAIL : tenilmallya2009@yahoo.com
tete@tranquilmassagespa.com
info@tranquilmassagespa.com

WEBSITE : www.tranquilmassagespa.com
LOCATION:- PLOT NO 164,HANANASIF
KINONDONI ROAD.









Thursday, November 26, 2009

TOT HAO WANAKUJA UPYA NA VITU VIKALI

Mkurugenzi wa TOT na pia ni mbunge wa Jimbo la Mbinga, Captain John Komba akitambulisha ujio mpya wa timu yake nzima ya wasanii wakali wa TOT na vibao vyao pamoja na video za nyimbo hizo katika Party ya kuonja vituz vyao kabla ya kutinga sehemu mbalimbali......kaa mkao wa kula si mchezo babake wamekuja kufunikaaaaaaaaaaa ile mbaya.
Abubakar (Kwafujo) akiwa na MC wa siku hiyo Maimatha hapo jana.
Abubakar( Kwafujo) akiwa na Mkurugenzi wa TOT kaptein John Komba wapili (kushoto) akifuatiwa na mgeni rasmi wa siku hiyo mweka hazina Mkuu wa CCM Taifa Amos Gabriel Makala ' Nabii wa Mvomero' na mwisho kabisa ni mdau wetu.
Abubakar akiwa na msanii wa picha za filamu za kibongo maarufu kama Lovilo Matovolwa.

Friday, November 20, 2009

UJIO WA KOMBE LA DUNIA JIJINI DAR

Rais Jakaya Kikwete akiwa ameshika Kombe halisi la Dunia la FIFA, muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Msanii maarufu wa BongoFlava AY akifanya vitu vyake katika uwanja mpya wa Taifa wakati wa kupokea kombe la Dunia
Uwiiiiiii...... pua hizi ni hatari kweli kweli filimbi zinavuma kama zinapulizwa na mdomo....

Vidosho wa Miss Utalii Tanga

Kwa wagosi nako mambo si mchezo

Friday, November 13, 2009

NAOMI CAMPBELL ALIPOTUA DAR

Msanii na Mwanamitindo wa kimataifa Naomi Campbell akiwa Franco Tramantano wakati wa onyesho wakati wa onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taasisi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo.
Looo jamani siamini ninachokiona!!!!!!!!!!!!!!!..... akina mama hawa wajawazito na wengine waliojifungua wakiwa wamesongamana chini sakafuni na vitandani katika wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Temeke walimchangaya sana akili Naomi CampbellMhhhhh Jamani hali hii ya wanawake wenzangu siamini wazazi kuwa katika hali hii.

Monday, November 9, 2009

Swahili Fashion Week

Mwanamitindo akiwa katika poziakionyesha vazi la ubunifu
Mwanamitindo akiwa katika pozi akionyesha vazi la ubunifu
Wanamitindo wakipita jukwaani kuonesha mavazi yaliyobiniwa na mbunifu Zamda George

Klabu Maisha yateketea kwa moto

Askari wa Kikosi cha Zimamoto, wakijitahidi kuzima moto mkubwa uliokuwa unateketeza ukumbi maarufu wa starehe wa Maisha Club wa wajanja wa mujini uliopo Oysterbay.

Sunday, November 8, 2009

Vitu vya Ray C kiuno bila mfupa

Ray C kiuno bila mfupa akifanya vitu vyake Jukwaani
Bweeee bweee bweeee.... kibao kimegeuka leo lazima nikutafune mmezoea kutafuna wenzenu

Wednesday, November 4, 2009

Vodacom miss TZ 2009 akabidhiwa mchuma wake

Vodacom Miss Tanzania Miriam Gerald akipunga mkono ndani ya gari lake lenye thamani ya shilingi Milioni 53...... Sasa tukutane kwenye road.

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL