
Really Mafia, ni Mtanzania anayeishi Bellville Cape Town,South Africa, hivi sasa anatamba na wimbo unaoitwa Freeparty ambao ameurecord South Africa ktk Studio za Fearless, ktk wimbo huo kawashirikisha Xcracker na Makay, "Matarajio yangu ni kufanya mapinduzi makubwa ktk muzik wa bongo,nategemea kuanzisha kampuni kubwa ya promotion,na uuzaji wa kazi za wasanii hapa bongo," alisema hivyo Reall Mafia a.k.a KING



real mafia unatisha mwana,kaza ututoe wabongo kimataifa,wape hi bomdeni.
ReplyDelete