Monday, September 7, 2009

Siku tulipougawa mwezi wa Ramadhan

Sasa mshkaji wangu hebu punguza bei unajua mimi nimetoka mbali hadi kuja hapa Kawe beach kwa ajili ya kitoweo cha Ftari na Daku
KwafujoJunior akipima uzito wa Samaki....."mmmh nadhani huyu anatosha kula peke yangu si unajua mambo ya Daku."

1 comment:

  1. Mambo vipi abobakari,nimefurahi kumuona athumani sadick muhina kumbe amekuwa ivyo? mara ya mwisho nilimuacha naura primary enzi zile anajifunza kuvuta bangi mtoni meru au naura alikuwa mkorofi sana athumani alinionea sana kisa alikuwa ananidai peni yaaani ilifika kipindi watu wakanichangia nikamnunulia peni yake lakini aliikataa akidai peni yake ilikuwa inauzwa tsh elfu saba alikuwa ananipiga sana tu enzi hizo yupo na rafiki yake mmoja anaitwa Byaison baba yake alikuwa askari pale arusha enzi hizo mnakaa soweto kabla hamjaamia njiro. Nadhani atakuwa ananikumbuka mama yenu alikuwa anafanya kazi na marehemu daddy yangu pale mahakama kuu. Basi baadae tukaja kuelewana baada ya kwenda kumshtakia kwa mwalimu mmoja alikuwa anaitwa mama pendo sitakuja kumsahau athumani jamani watu tunatoka mbali sana alikuwa ananipiga akawa anawaambia anasikia kichefuchefu akiniona baati mbaya zaidi tulipangwa dawati moja we acha tu mwisho wa siku tulikuja kupatana bac tu tumetoka mbali vp mdogo wenu mariam hajambo? Nimekukumbuka sana best enzi izo abuu unasoma nairobi uwongo? MISSING A LOT ATHUMANI ni mimi best yako tulikuwa tunakaa kanisa road then tukaamia njiro redio.

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL