Wednesday, August 19, 2009

Queen wa mjini Amina Dushy

Mdau wa blog hii Queen Amina Dushy katika pozi kali
Unanicheki
Umecheki Tabasam hilo la mtoto Dushy

11 comments:

  1. ebwana kwafujo anapatikana wapi huyu mtoto?mie mapozi yake tu.weka na namba yake mzazi

    ReplyDelete
  2. duuuh pozi hakuna kabisa mwana na tabasamu bovu ile mbaya abuu eeeh 2wekee mademu wa ukwel bwana....NADIA

    ReplyDelete
  3. EBWANA EEEE DUUU...POZI ZA AJABU DEMU CO MKALI WALA NINI 2WEKEE WATOTO WA UKWELI ABUUU ANAUWA BENDI

    ReplyDelete
  4. minimemkubali tena sana abuu tatizo umeboa hujaweka namba yake....michael

    ReplyDelete
  5. ebwanaeeee minamjua mtoto dushy duuuuh!!!mamaa uko juuuuuu ila uko wapi siku hizi maana toka kipindi kile uko forosesco sijakuona tena.....!!baraka

    ReplyDelete
  6. masela wa bongo kwa kupenda vimwana ni noma! yaani post nyingine ham-comment lakini akiwekwa demu, mwamimina ma-commet ya kumwaga. acheni hizo bwana!
    Shaluwa J.

    ReplyDelete
  7. Hyo mtto mkali bwn,tatizo wa Bongo ha2jikubali 2naponda mpaka visivyo pondeka! Km vp Abuu wawekee picha ya Ciara uone shobo zao.........

    ReplyDelete
  8. ebwana hao wanaosema huyo mtoto siomkali...i think they really need a sereous councelling maana kama mpaka leo hawajui dem mkali anafafananaje swala la kuoa kwao ni story,oya kama vipi dondosha hilo namba mtu chuma..........TRY

    ReplyDelete
  9. nice pics,nice poz..mtoto wa ukweli dunia nzima hakuna,mnao ponda wote ukute mmekula vibuti,,
    Reuby61

    ReplyDelete
  10. Ebwana me nilifikiri ni peke yangu ndo namkubali kumbe hata wewe umemstukia kuwa mtoto kitu ile mbaya. Maana na kusema nimfanye awe mke wa pili nashindwa sababu ni shemegi yangu. sasa sijui unanishauri nini?

    Kandai

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL