Sunday, August 9, 2009

Ndani ya MJ Records

Marcochali akiwa na Kwafujo baada ya kumtembelea studio pale Mj Records Masaki.
Eee... bwana nilisikiliza mikono mikali kutoka kwa wasanii kama FID Q, Mwana FA, QJ na Makamua, halafu kuna Dem mmoja anaitwa Najma nae anakuja na ngoma moja kali sana....endelea kublogisha.
Mcheki Marcochali alipokuwa mdogo kwanye picha ya T- shirt
T-Shirt ya nani pamoja na nembo yake ni kali kuliko ya mwenzie..........

1 comment:

  1. naitwa mark.mushi naishi italy,ni msanii wa bongoflava najiandaa kurecord single yangu hivi karibuni hapa roma,mimi jina langu la kiusanii ni mark.izack aka mack-kama wanavyoniita wengi mack,mimi naomba namba ya marco chali jamaa ni best wangu kichizi tokea tuko ukonga wote pale banana,mshikaji michael yee ananijua kwa jina la msouth ambaye kwa sasa yupo italy,msouth wa banana kwa kina saba,naomba tuwasiliane kupitia chelseaforte1@yahoo.it,au kwa simu namba+393336989592,marcochali jamaa anatisha sana nimesikiliza kazi zake nyingi alizowafanyia wasanii mbalimbali kama x-dizzo dhahabu zilizopotea,na nyingine nyingi tu,asanteni naomba sana namba yake jamaa ni mshua wangu kichizi tangu anapiga vinanda pale kanisa la sayuni ukonga banana,

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL