
Mshikaji wangu ABD Mwaipaya hawa jamaa mbona wanachelewa wakati sisi tuna ubao kinoma inakuwaje.....

Hey... hey... tufanye fasta Aboubakar Sadick na Mwaipaya wanaonekana wanaubao kinoma ngoja tuwaoneshe kuwa Delightful ni Bab kubwa.

Walipochelewa tuliamua kujikita jikoni huko tulikuta mishtaki yetu ikichomwa kwa ustadi.....eee bwana usiombe ilikuwa laini na mitam ile mbaya, hata kama ni kibogoyo utakula bila shida.

Afadhali mmenipoza kwanza kwa juice maana ningeanza fujo pasingetosha

mmmmh....maridadi kweli kweli Juice bab kubwa