Wednesday, January 13, 2010

MR. BLUE AKANUSHA KUFA

Mr. Blue akiwa kwenye mahojiano na mtangazaji wa Radio One wa kipindi cha Milazo 101 Millard Ayo......katika mahojiano hayo Mr. Blue alisema kuwa yeye ni mzima wa afya na anaendelea na mipango yake ya maisha kama kawaida, ikiwa ni pamoja na kusoma kozi za Kiingereza za Kifaransa ili awe wa kimataifa zaidi katika ulimwengu wa sasa ambao ni kijiji kimoja, pia Mr Blue alisisitiza kumalizia nyumba yake ambayo anajenga huko maeneo ya Tabata na hatimaye aweze kuishi pamoja na mama yake ambaye anampenda sana.

2 comments:

  1. Ha! ha! ha! ha! ilikua afe? Au alikufa kafufuka
    Ebwana embu nyoosha kidogo sentence kunani tenaa. Bado Anasonga,Inabidi tu ajali.

    ReplyDelete
  2. vipi imekaa kimeo nini?

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL