Thursday, November 26, 2009

TOT HAO WANAKUJA UPYA NA VITU VIKALI

Mkurugenzi wa TOT na pia ni mbunge wa Jimbo la Mbinga, Captain John Komba akitambulisha ujio mpya wa timu yake nzima ya wasanii wakali wa TOT na vibao vyao pamoja na video za nyimbo hizo katika Party ya kuonja vituz vyao kabla ya kutinga sehemu mbalimbali......kaa mkao wa kula si mchezo babake wamekuja kufunikaaaaaaaaaaa ile mbaya.
Abubakar (Kwafujo) akiwa na MC wa siku hiyo Maimatha hapo jana.
Abubakar( Kwafujo) akiwa na Mkurugenzi wa TOT kaptein John Komba wapili (kushoto) akifuatiwa na mgeni rasmi wa siku hiyo mweka hazina Mkuu wa CCM Taifa Amos Gabriel Makala ' Nabii wa Mvomero' na mwisho kabisa ni mdau wetu.
Abubakar akiwa na msanii wa picha za filamu za kibongo maarufu kama Lovilo Matovolwa.

No comments:

Post a Comment

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL