Friday, November 13, 2009

NAOMI CAMPBELL ALIPOTUA DAR

Msanii na Mwanamitindo wa kimataifa Naomi Campbell akiwa Franco Tramantano wakati wa onyesho wakati wa onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taasisi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo.
Looo jamani siamini ninachokiona!!!!!!!!!!!!!!!..... akina mama hawa wajawazito na wengine waliojifungua wakiwa wamesongamana chini sakafuni na vitandani katika wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Temeke walimchangaya sana akili Naomi CampbellMhhhhh Jamani hali hii ya wanawake wenzangu siamini wazazi kuwa katika hali hii.

No comments:

Post a Comment

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL