Katika nani zaidi ya wiki iliyopita ya tarehe 26/07/2009 mpambano ulikuwa kati ya Kassim na Hussein Machozi, na mpaka mwisho wa mpambano Hussein Machozi akaibuka mshindi........Je Jumapili hii ya Tarehe 2/8/09 atafanikiwa kumshinda Marlow?
Tuma maoni yako sasa.
Mimi naona zaidi atakuwa Marlow
ReplyDelete