ABDALLAH MWAIPAYA(ABD) akichekelea misosi na GODWIN GONDWE baada ya kazi ngumu ya kuwagawia chakula walemavu katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini DAR ambapo siku hiyo wafanyakazi wa makampuni ya IPP walikuwa wahudumu wa walemavu waliofika kwenye sherehe hizo. Wafanyakazi wa Ipp wakichukua misosi baada ya kazi nzito wa kutoa huduma kwa walemavu katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Wafanyakazi wa Ipp wakichukua misosi baada ya kazi nzito wa kutoa huduma kwa walemavu katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Mr. Blue akiwa kwenye mahojiano na mtangazaji wa Radio One wa kipindi cha Milazo 101 Millard Ayo......katika mahojiano hayo Mr. Blue alisema kuwa yeye ni mzima wa afya na anaendelea na mipango yake ya maisha kama kawaida, ikiwa ni pamoja na kusoma kozi za Kiingereza za Kifaransa ili awe wa kimataifa zaidi katika ulimwengu wa sasa ambao ni kijiji kimoja, pia Mr Blue alisisitiza kumalizia nyumba yake ambayo anajenga huko maeneo ya Tabata na hatimaye aweze kuishi pamoja na mama yake ambaye anampenda sana.