Thursday, September 17, 2009

Beezy kukamua kinoma ndani ya Goethe-Institut

Jamaa anatisha sana hasa kwa kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la "Get out"!
Siku hiyo atashirikiana na 7Bisha wakati mshamilishaji wa shughuli hiyo atakuwa Carola Kinasha ...... usikose tarehe 26/9/09 shoo hii kali kuliko zote!!!!!!!!!!!!!

1 comment:

  1. NATOA BIG UP KWA MACHIZI WA SABABISHA WANATISHA KATIKA KUWAKILISHA WANZO
    MPAKA KWISHA. By E.R.K
    wwwarchunit.blogspot.com
    ema.bariki@gmail.com
    @yahoo.com
    @myspace.com
    Kwafujo81 inabamba.

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL