Tuesday, August 4, 2009

Dallys akiwa na Aboubakar Sadiq (Kwafujo)

Kwa jina kamili Naitwa Joseph Dismas Dallma(Dallys)
Aina ya Muziki naofanya ni R&B pamoja na Hip Hop kapuka.
Nilizaliwa Mwanza (Rock City) na elimu yangu nikapatia Mwanza.
Kuhusu Muziki ni kwamba niliupenda toka utotoni mpaka sasa nikaona nitimize malengo yangu kwani muda mwingi nilikuwa Nairobi na Kampala kimuziki.
Nilifanya rekodi kama Move oyamama na pii pii
Uganda na pia Kenya katika studio za 4play records.
Kwa mwaka huu nimefanya nyimbo na Jumanne Iddy Produzer akiwa ni Double B.
Na nyingine inaitwa Ushauri ambayo nimemshirikisha Taqwa toka studio za G Records KGT.
Mwaka huu natarajia kufanya vizuri mashabiki wangu wanisubiri kwa shauku.
Video zangu nafanyia katika Kampuni ya SPK Videoz iliyopo Jijini Dar.
Matarajio yangu ni kujikita zaidi katika soko la ndani na nje ya nchi kanda ya nyimbo inayotamba kwa jina la Ushauri, watu watarajie ushauri mwingine toka kwa Dallys muda si mrefu ni hayo tu.
Aboubakar Sadiq (Kwafujo) katika mapozi ya picha akiwa na Dallys
DJ BIKE katika mapozi ya picha akiwa na Dallys
Niwakati wa Lanchi Hozee Ndamalya hataki mchezo kwenye maswala ya misosi hapo ni tatu bila

3 comments:

  1. daaaah ime2lia wang web yako naona na ww unauza nyagoooooo duuuuuuuuu ebwana eeee miwani hii inachengua.....itz me nadia

    ReplyDelete
  2. oyoooooooooooo mnakulaga hivyo au kwa ajili ya picha 2

    ReplyDelete
  3. hozee punguza kula, kijana mdogo unanenepa unaenda wapi?

    ReplyDelete

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL