Thursday, December 31, 2009

Tuesday, December 29, 2009

Really Mafia atikisa anga za Bondeni


Really Mafia, ni Mtanzania anayeishi Bellville Cape Town,South Africa, hivi sasa anatamba na wimbo unaoitwa Freeparty ambao ameurecord South Africa ktk Studio za Fearless, ktk wimbo huo kawashirikisha Xcracker na Makay, "Matarajio yangu ni kufanya mapinduzi makubwa ktk muzik wa bongo,nategemea kuanzisha kampuni kubwa ya promotion,na uuzaji wa kazi za wasanii hapa bongo," alisema hivyo Reall Mafia a.k.a KING

Reall Mafia a.k.a KING katika Pozi

Friday, December 18, 2009

JB MPIANA KUCHANA BONGO LEO

Msanii mahiri muziki wenye mahadhi ya Kilingala kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo, JP Mpiana amewasili nchini usiku wa kuamkia leo, ambapo baadaye jioni hii atafanya onyesho kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza.

Mpiana aliwasili sambamba na kundi la wasanii wake na kupokelewa na wenyeji wake kampuni ya Sigara, ambapo onyesho lake litafanikishwa kupitia sigara ya Embassy, alisema meneja msaidizi wa bidhaa hiyo, Elizabeth Ndosi.




Thursday, December 17, 2009

HAPPIIIIII BITHDEI ABOUBAKAR SADICK (KWAFUJO)

ASBH NIKIPATA SUPU YA KUSHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA,
Namshukuru sana mungu kwa kunifikisha siku hii muhimu siku mungu aliponileta duniani,nimeruka viunzi vingi sana mpaka leo nipo hai na napumua vizuri namshukuru sana mungu,thnx kwa wote mlionipigia simu au ku sms kunitakia maisha marefu na kunipa moyo ktk kupambana na ukali wa maisha, kwa wasikilizaji wa vipindi vyangu nawaambia KEEP THE FAITH ON ME ILL NEVER LET U DOWN.......
MTOTO AKIJILIPUA NA POMBE KALI MAPEEEEEMA
ASSAM.....,DUH!DINGI UMEKULA CHUMVI NYINGI WAKT MIMI HATA MENO HAYAJAOTA

SALAM KUTOKA INDIA KWA GETRUDE MKUMBO

Getrude Mkumbo katika Pozi Bab kubwa, jana alisheherekea Bithi Dai yake



Monday, December 7, 2009

MREMBO WETU WA MISS EA

Juliet William, 19, amechaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Miss East Africa yatakayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam tarehe 18 Desemba.

Wednesday, December 2, 2009

FACE OF AFRICA

Mrembo kutoka mkoa wa Manyara anadumisha mila wengine ilisha shindwa

THIS BLOG IS POWERED BY TRIZ MOTEL

THIS BLOG IS POWERED BY  TRIZ MOTEL